The Noble Qur'an Encyclopedia
Towards providing reliable exegeses and translations of the meanings of the Noble Qur'an in the world languagesThe Disbelievers [Al-Kafiroon] - Swahili translation - Ali Muhsen Alberwany
Surah The Disbelievers [Al-Kafiroon] Ayah 6 Location Maccah Number 109
Sema: Enyi makafiri!
Siabudu mnacho kiabudu;
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
Wala sitaabudu mnacho abudu.
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.