The Noble Qur'an Encyclopedia
Towards providing reliable exegeses and translations of the meanings of the Noble Qur'an in the world languagesAbsoluteness [Al-Ikhlas] - Swahili translation - Ali Muhsen Alberwany
Surah Absoluteness [Al-Ikhlas] Ayah 4 Location Maccah Number 112
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.