عربيEnglish

The Noble Qur'an Encyclopedia

Towards providing reliable exegeses and translations of the meanings of the Noble Qur'an in the world languages

The Women [An-Nisa] - Swahili translation - Rowad Translation Center - Ayah 141

Surah The Women [An-Nisa] Ayah 176 Location Madanah Number 4

ٱلَّذِينَ يَتَرَبَّصُونَ بِكُمۡ فَإِن كَانَ لَكُمۡ فَتۡحٞ مِّنَ ٱللَّهِ قَالُوٓاْ أَلَمۡ نَكُن مَّعَكُمۡ وَإِن كَانَ لِلۡكَٰفِرِينَ نَصِيبٞ قَالُوٓاْ أَلَمۡ نَسۡتَحۡوِذۡ عَلَيۡكُمۡ وَنَمۡنَعۡكُم مِّنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَۚ فَٱللَّهُ يَحۡكُمُ بَيۡنَكُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِۚ وَلَن يَجۡعَلَ ٱللَّهُ لِلۡكَٰفِرِينَ عَلَى ٱلۡمُؤۡمِنِينَ سَبِيلًا [١٤١]

Wale ambao wanawangojelea. Basi mkipata ushindi unaotoka kwa Mwenyezi Mungu, wao husema: "Kwani hatukuwa pamoja nanyi?" Na ikiwa ni sehemu ya makafiri kushinda, wao huwaambia: "Hatukuwa ni waweza wa kukushindeni, nasi tukawakinga kutokana na hawa Waumini?" Basi Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu Siku ya Qiyama, wala Mwenyezi Mungu hatawapa makafiri njia ya kuwashinda Waumini.