The Noble Qur'an Encyclopedia
Towards providing reliable exegeses and translations of the meanings of the Noble Qur'an in the world languagesThe Women [An-Nisa] - Swahili translation - Rowad Translation Center - Ayah 61
Surah The Women [An-Nisa] Ayah 176 Location Madanah Number 4
وَإِذَا قِيلَ لَهُمۡ تَعَالَوۡاْ إِلَىٰ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ وَإِلَى ٱلرَّسُولِ رَأَيۡتَ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ يَصُدُّونَ عَنكَ صُدُودٗا [٦١]
Na wanapoambiwa: 'Njooni kwa yale aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu na kwa Mtume', utawaona wanafiki wanaepukana na wewe kuepuka kukubwa.