The Noble Qur'an Encyclopedia
Towards providing reliable exegeses and translations of the meanings of the Noble Qur'an in the world languagesThe cattle [Al-Anaam] - Swahili translation - Rowad Translation Center - Ayah 117
Surah The cattle [Al-Anaam] Ayah 165 Location Maccah Number 6
إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعۡلَمُ مَن يَضِلُّ عَن سَبِيلِهِۦۖ وَهُوَ أَعۡلَمُ بِٱلۡمُهۡتَدِينَ [١١٧]
Hakika Mola wako Mlezi ndiye anayejua vyema yule aliyepotea Njia yake, naye ndiye anayejua vyema wale walioongoka.