Kurasa kuu ya Tovuti

Kwa Lugha Abundance [Al-Kauther]

Sura , Ina Aya , mahali iliposhuka , na mpangilio wake katika Msahafu

إِنَّآ أَعْطَيْنَٰكَ ٱلْكَوْثَرَ ﴿1﴾

Hakika tumekupa kheri nyingi.

فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنْحَرْ ﴿2﴾

Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.

إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلْأَبْتَرُ ﴿3﴾

Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.